television

  1. M

    Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

    Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
  2. Vituo vya Television na Radio vinachangia mimba za utotoni nchini

    Haingii akilini kusikia eti chombo cha habari kama Radio (hasa za FM) na television (hasa za vijana) vinaendesha kampeni ya kuzuia ngono na mimba kwa vijana wakati huohuo vinahamasisha vijana kufanya kijiingiza kwenye mapenzi. Imefahamika kuwa watoto wengi huwa hawasikilizi na kuangalia Radio...
  3. Ni kituo gani cha Television kilipigwa faini na TCRA wakati wa uchaguzi?

    Kuna taarifa naifanyia kazi sasa nahitaji baadhi ya information muhimu. Ningependa kujua, wakati wa kampeni kuna kituo cha television kilirusha matangazo ya BBC yaliyojumuisha taarifa fulani nadhani kuhusu Tundu Lissu. Kile kituo kilipigwa faini nadhani ya milioni 20. Ningependa kujua kituo...
  4. RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu. Maamuzi hayo yanakuja kufuatia maudhui ya picha jongefu yaliyomwonesha msanii wa bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money akicheza...
  5. Natafuta Television au YouTube Chaneli inayoweza kuandaa makala za uchunguzi kama Jicho Pevu za Mohamed Ali wa KTN

    Habari wakuu, Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa wanadeal zaidi na digital works kama e-newspaper, YouTube chanels n.k. Hivyo nimeandaa matukio 10 yalowahi...
  6. Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

    Utangulizi;kuna Mali za Serikali na Mali za chama,Chanel ten na TBC In Mali ya serikali. 1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine. 2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu. 3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo. 4.Nyimbo...
  7. Flat Tv inch 32 kwa laki 2 na 20

    Wakuu nauza TV aina aborder kwa 220000/= Ina double glass yani vioo viwili Inamstari kidogo kwa chini Ina support kila kitu Dar es salaam 0762693368
  8. Uchaguzi 2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
  9. Flat TV inch 32 kwa 230000

    Wakuu nauza TV aina aborder Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani Ina msitari kidogo tu hapo chini Bei ni 230000 Dar es salaam 0762693368
  10. S

    Ni kosa kubwa sana kisiasa kwa Wananchi kuona mikutano ya Lissu mitandaoni halafu mikutano hiyo haionekani kwenye Television na Media zingine

    Moja ya mambo yatayoigharimu CCM hii ya Magufuli, ni hiki kitendo cha mikutano ya Lissu inayovuta maelfu ya Wananchi kusambaa mitandaoni huku kwenye mainstream Media kama vile tv na redio mikiutano hii hairipotiwi wakati wananchi wanategemea kuiona ikiripotiwa katika vyombo hivi vya habari...
  11. Belarus television broadcasts empty studio as state media joins general strike

    Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa Waandamanaji kutaka Rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko kujiuzulu Mmoja wa Wafanyakzi hao akihojiwa na Kituo cha Interfax amesema wanaenda na wao kuandamana na takriban wafanyakazi 100 wamekusanyika...
  12. Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  13. S

    Watangazaji wengi wa Television na Radio hapa Tanzania wanagangamala sana utafikiri wanakula cement, na wanatumia sauti zisizo zao (artificial)

    Yaani kuna kitu kinanikera mno kuangalia stesheni nyingi za TV Tanzania. Ni kwamba watangazaji wengi sana wa TV, wanawake kwa wanaume, wanapofanya matangazo wanakuwa wamengangamala utafikiri wanaishi kwa kula cement. Unakuta mwili umejikaza hawako natural kabisa, wako very conscious kwamba...
  14. C

    TV4Sale Used Samsung LED 40 " Television For Sale

    Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR. Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo. Nauza kwa laki 5 tu. Ipo Mbweni JKT, Dar. Wasiliana Whatsapp 0625536529 Samsung UA40H5100AR 40 inch LED Full HD TV Specifications Summary features 3D TV: No, Smart TV: No, Curved...
  15. Kulikoni: Television nyingi hapa nchini kwa sasa zinatangaza zaidi habari za Kanda mbili; Kusini na Kanda ya Ziwa

    Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv. Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo. Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…