Mtu mmoja asiyefahamika ambaye amepachikwa jina la Pdidy anatafutwa kwa udi na uvumba kwa tuhuma za kubaka wanawake na watoto kimiujiza. Inadaiwa mbakaji huyo inapofika usiku kuanzia saa 7 usiku huingia kwenye nyumba mbalimbali ambapo hubaka wanawake, kujeruhi au kuiba mali. Mashuhuda wanadai...