Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa...
Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza.
Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira.......
Ila tu...
Unakumbuka sakata la mrembo Jacqueline Obeid a.k.a Poshy Queen na Hamisi Kigwangala?
Sasa Mwanasiasa Hamisi Kigwangala amezungumzia tuhuma zilizomwandama kuhusu mrembo Poshy Queen na pisi kali alizowahi kudaiwa kuzipandisha ndege na kwenda kujivinjari nazo mbugani kipindi ni Waziri wa Maliasili...
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo.
Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara.
Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara.
Mambo ya tohara yapo...
Na uchungu sana.
Sababu ya ukengeufu wa maadili ndoa haziheshimiwi kabisa,watu wanapita tu ukiacha mlango wazi.
Watu Wana ndoa home wakienda makazini Wana ndoa zingine yaani ndoa juu ya ndoa.
Uhitaji kuumia utaacha wangapi wote wameoza.
Mtu akipita na mke / mme wako nawe pita na wake kwa...
Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu.
Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni
KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea
Hio ndio iwe kauli mbiu yako.
Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu,
Mara sijui...
Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana...
Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa.
Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa.
Pia...
Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana nimekatiza kutokea gatuzi za Magharibi hadi Nairobi, barabara zimetanuliwa na kuboreshwa aki ya nani mpaka...
Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
Habari zenu.
Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi.
Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa kodi. Mmoja wetu akagaa anaenda kushusha "kubwa".
Mmoja wa wadada akasema kati ya starehe yake kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.