tembea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tembea ufurahishe akili na ujifunze

    Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa...
  2. Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

    Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
  3. Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  4. Kigwangala afunguka sakata la kujivinjari na Pisi Kali Mbugani, amkana Poshy Queen: "Simjui, Sijawahi tembea na yule binti"

    Unakumbuka sakata la mrembo Jacqueline Obeid a.k.a Poshy Queen na Hamisi Kigwangala? Sasa Mwanasiasa Hamisi Kigwangala amezungumzia tuhuma zilizomwandama kuhusu mrembo Poshy Queen na pisi kali alizowahi kudaiwa kuzipandisha ndege na kwenda kujivinjari nazo mbugani kipindi ni Waziri wa Maliasili...
  5. Vimba sana tembea na mume wa mtu au mke wa mtu kaa kwa kutulia, Karma is Real and Her other Name is a Reciproca.

    Shalom, Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
  6. Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

    Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara. Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara. Mambo ya tohara yapo...
  7. Mtu akitembea na mkeo nawe tembea na mkewe wake

    Na uchungu sana. Sababu ya ukengeufu wa maadili ndoa haziheshimiwi kabisa,watu wanapita tu ukiacha mlango wazi. Watu Wana ndoa home wakienda makazini Wana ndoa zingine yaani ndoa juu ya ndoa. Uhitaji kuumia utaacha wangapi wote wameoza. Mtu akipita na mke / mme wako nawe pita na wake kwa...
  8. Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

    Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu, Mara sijui...
  9. Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  10. Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

    Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa. Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa. Pia...
  11. Dah! Tembea uyaone, sikujua barabara za Kenya zimeboreshwa kiasi hiki

    Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana nimekatiza kutokea gatuzi za Magharibi hadi Nairobi, barabara zimetanuliwa na kuboreshwa aki ya nani mpaka...
  12. Tembea ujionee

    Ujenzi wa aina yake!
  13. Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

    Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
  14. Tembea uone

    Habari zenu. Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi. Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa kodi. Mmoja wetu akagaa anaenda kushusha "kubwa". Mmoja wa wadada akasema kati ya starehe yake kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…