temesa

Temesa (Ancient Greek: Τεμέση or Τεμέσα [Doric]), later called Tempsa, was an ancient city of Magna Graecia, in Italy, on the shore of the Tyrrhenian Sea. It was situated close to Terina, but its precise location has not yet been found. It is thought to have been located near the Savuto river to the north of the Gulf of Sant'Euphemia. More recently Campora San Giovanni, a town near the mouth of the Savuto, has been considered as a more precise location. The archeologist Gioacchino Francesco La Torre excavated a temple outside the town in the early 2000s, which was located within the territory of Temesa.

View More On Wikipedia.org
  1. Ulega Aitaka TEMESA Kuja na Tathmini Chanya Ujenzi Vivuko Vipya

    ULEGA AITAKA TEMESA KUJA NA TATHMINI CHANYA UJENZI VIVUKO VIPYA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana kwa jamii kutokana na ujenzi wa vivuko vipya sita vinavyoendelea kujengwa na...
  2. A

    Ombi kwa TEMESA

    Mtusaidie kupaza Sauti na kuwafikishia wahusika Ndio tunachangamoto ya Kivuko lakini Hii Bei ya kivuko cha Azam sea tax kutoka Kivukoni kwenda kigamboni ni kubwa mno kutoka sh 200 mpaka Sh 500 hawaja tusaidia wametuongezea tatizo jengine..
  3. Ushauri kwa TEMESA hasa kunapokuwa na ambulance kivuko cha Mv Kazi

    Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya. Leo ambulance maskini mgonjwa...
  4. TEMESA yaomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha Mafia mpaka Nyamisati kutokana na safari kusitishwa

    Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma. Soma pia: TEMESA tunaomba mlizingatie...
  5. TEMESA tunaomba mlizingatie hili kwa Wananchi wa Kigamboni

    Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi. Pili, tunashauri wale majamaa wanaopanga magari jioni waache nafasi ya kutosha. Sasa hivi magari yamejaa mpaka kwenye njia za watembea...
  6. A

    DOKEZO Kivuko cha Pangani kuna mazingira ya tiketi moja kutumika zaidi ya mara moja

    TEMESA Pangani hawa-scan tiketi, askari anazikusanya tu! Kuna harufu ya upigaji! Nilipita asubuhi nilivyorudi jioni ticket niliyopewa ilikuwa inaonyesha imekatwa saa moja asubuhi! kuna mazingira ya ticket moja kutumika zaidi ya mara moja!
  7. Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

    Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
  8. Majaliwa: Taasisi za serikali zinazodaiwa na TEMESA kukiona

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Lazaro Kilahala, kuwasilisha Ofisini kwake orodha ya Taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na Wakala huo ili aweze kuwaandikia baraua ya kusisitiza kulipa madeni yao. Agizo hilo amelitoa leo, Agosti 20...
  9. Bashungwa amkabidhi Dkt. Msonde Taasisi ya TEMESA na TBA, ataka mageuzi ndani ya Miezi Mitatu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kufanya mabadiliko na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazokabili Taasisi hizo ili...
  10. A

    KERO TEMESA Morogoro haijawalipa wafanyabiashara waliosambazia bidhaa

    Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini hawatoi majibu yoyote. Kuna kikao kilifanyika mwezi wa tatu mwaka 2024 cha wafanyabiashara wote...
  11. Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
  12. KERO Kigongo - Busisi: Hali ya huduma ya vyoo hairidhishi pamoja na wahusika kukusanya mapato

    Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya Shilingi 500 kupanda kivuko, lakini kuna Shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry. Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa vyoo, maji hakuna, vyoo vichafu na hazifanyiwi usafi. Nimeshangazwa sana na hali hii kutokana na...
  13. Mbunge Amina Mzee atoa wito kwa Taasisi za Serikali kuilipa TBA na TEMESA madeni Ili Mashirika yaweze kujiendesha

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo. "Nampongeza Mheshimiwa Rais...
  14. Bashungwa azikutanisha TEMESA na Azam Marine uboreshaji Huduma za Vivuko

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kikao hicho...
  15. Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
  16. Bashungwa kuchukua hatua kwa Mameneja wazembe TEMESA, ataka majina kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  17. CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  18. Bashungwa aagiza TEMESA kuboresha Huduma za Vivuko

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma bora pamoja na kulinda usalama wa mali na abiria. Aidha, Bashungwa ametoa wiki moja...
  19. J

    Kasekenya awataka TEMESA kuwa wabunifu

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kuangalia namna bora ya kuja na ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku. Naibu Waziri ameyasema hayo leo Tarehe 18 Machi, 2024 wakati...
  20. Bashungwa atoa miezi miwili TEMESA kufanya Mageuzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kukamilisha taratibu zote za kiutendaji na Marekebisho ya Kisheria ili kuuwezesha Wakala huo kutekeleza majukumu yake kibiashara ifikapo mwaka mpya wa fedha 2024/25. Bashungwa amezungumza hayo jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…