Ni imani yangu sote tu wazima wa afya.
Nina muda mrefu sijavuka kwa panton kwenda kigamboni takribani miakai minne sasa, japokuwa ninaishi Dar es Salaam. Leo katika ratiba za mishemishe zangu hapa mjini, ratiba moja wapo ilinilazimu niende Kigamboni, wakati wa kwenda nilipita darajani ila...