ten hag

Erik ten Hag (born 2 February 1970) is a Dutch professional football manager and former player who is the manager of Premier League club Manchester United.
Ten Hag played as a centre-back and began his career with Eredivisie club Twente. He joined De Graafschap in 1990, and won the Eerste Divisie in his first season. He rejoined Twente in 1992 and transferred to RKC Waalwijk two years later, where he remained for one season before signing with Utrecht in 1995. Ten Hag returned to Twente for a third time in 1996, where he won KNVB Cup in 2001. He retired in 2002, at age 32.
Ten Hag began his managerial career in 2012, when he was appointed by Go Ahead Eagles, where he led the club to promotion to the Eredivisie in his debut season. He then joined Bayern Munich II in 2013, winning promotion to the Regionalliga Bayern in 2014. He returned to the Netherlands in 2015 as sporting director and head coach at Utrecht. He joined Ajax in 2017, where he won three Eredivisie titles, two KNVB Cups, and led the team to the semi-finals of the 2018–19 UEFA Champions League. In 2022, he was appointed at Manchester United.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Erik ten Hag hana mpango wa kurejea kwenye soka hivi karibuni

    Kocha Erik ten Hag ametoa kauli ambayo inaonesha kuna uwezekano wa kutorejea kwenye mchezo wa Soka badala yake akaelekeza nguvu kwenye kazi zake binafsi. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu alipositishiwa ajira yake Manchester United, miezi minne iliyopita amesema kwa sasa anajihusisha na...
  2. Dalton elijah

    ERIK TEN HAG kama ataondoka Man United basi itakuwa wameamua kumuondoa tu!

    Bado mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama shida ni kocha, TEN HAG anaweza kuwa kuwa sehemu ndogo sana ya tatizo lililopo Old Trafford kwa sasa! David Moyes kapita hapo na alitoka Everton akiwa bora sana, Louis Van Gaal amepita hapo akiwa na Uholanzi tishio Duniani, Jose Mourinho ndio hakuna...
  3. J

    Ten Hag ana mechi mbili tu Man United

    Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua chake. Man United ambayo kwa sasa inashika nafasi ya 14, katika mechi tatu za mwanzo za EPL imeshinda moja na kupoteza...
  4. Waufukweni

    Mkurugenzi Mtendaji wa Man United: Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu. "Tunafikiri Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%". United...
  5. Roving Journalist

    Erik ten Hag bado yupoyupo sana Man United

    Klabu ya Manchester United imeamua kuendelea kubaki na Erik ten Hag na tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza na Kocha huyo ambaye iliaminika atafukuzwa kazi kutokana na kufanya vibaya katika Premier League Msimu wa 2023/24 Inadaiwa kuwa mmoja wa Wamiliki wa Klabu, Sir Jim Ratcliffe ameamua...
  6. JanguKamaJangu

    Man United itamfukuza Ten Hag baada ya Fainali ya FA Cup

    Tetesi kutoka katia vyanzo vya ndani ya Klabu ya Manchester United zimedai kuwa Kocha Erik ten Hag anatarajiwa kufukuzwa kazi mara baada ya mchezo dhidi ya Manchester City katik Fainali ya Kombe la FA, kesho Mei 25, 2024. Taarifa kutoka Gazeti la The Guardian zinaeleza kuwa mmoja wa wamiliki wa...
  7. Doto12

    Ten Hag hana akili sawasawa kitendo cha kuwatoa wadogo Ganacho na Mainoo kimempalia makaa. Unadhani atachomoka

    Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony ili ajisafishe kwa gharama kubwa aliyomnunua.... timu ingebaki 3 0 au ushindi wowote sifa kwa...
  8. JanguKamaJangu

    Wachezaji wanasubiri kujua hatma ya Ten Hag kabla ya kusaini mikataba

    Presha inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ikidaiwa baadhi ya wachezaji wa klabu yake hawajafanya maamuzi ya mikataba mipya klabuni hapo wakisubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo. Matokeo mabaya ya timu hiyo yanatajwa kuwa yanaweza kuwa kikwazo kocha huyo...
  9. Cheology

    Eric Ten Hag anakosea aidha hajui anataka nini Hjulmand ni aina ya mchezaji mharibifu

    Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani. Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box. Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon...
  10. JanguKamaJangu

    Majina 7 yanayopewa nafasi ya kumrithi ten Hag ndani ya Man United

    Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa baada ya kufungwa magoli 3-0 mfululizo na Manchester City na Newcastle United. Gazeti la The Sun...
  11. JanguKamaJangu

    Kocha Ten Hag afikiria kumpiga benchi Marcus Rashford

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo kushuka na kushindwa kufunga. Msimu uliopita Rashford alifunga magoli 30 lakini hadi sasa amefunga goli...
  12. Gang Chomba

    Ukistaajabu ya Ten Hag na Cristiano, utakutana na ya Capello na Ronaldo

    Baada ya vuguvugu la habari zisizo na uaminifu ndani yake, hatimae Ronaldo akihojiwa katika kituo cha Runinga cha FOX chenye matawi yake huko Amerika ya kaskazini na ya Kusini, amesema kuwa kamwe hakutaka kuondoka klabuni Madrid. De Lima maarufu kama “O fenomeno” ama elgodo ikimaanisha...
  13. Mama Edina

    Five available coach to replace Eric Ten Hag

    Man United is momently under scrutiny. Makocha watano walio na uwezekano kuinoa watajwa akiwepo ole gunner sosha. Wapo poa. Zedane. Chris Gutter. Hans Fric. Konte ---
  14. Eli Cohen

    Ungependa nani awe Kocha wa Manchester United endapo Ten Hag akiachishwa kazi?

    Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Man Utd chini ya ten Hag. Style of play hakuna, team's identity hakuna, the drive and force ya wachezaji hakuna. Ni jembe yupi ungependa achukue usukani pale Man Utd.
Back
Top Bottom