tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  2. M

    Shida ya maji yaanza tena kama ilivyo ada katika miezi hii ya September, October na November

    Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM, isiyojielewa, iliyoshindwa kusolve ishu za msingi kama maji halafu inadhani bado ina legitimacy mbele ya...
  3. Kwanini Mwanamke akigundua kakaa vibaya kwenye public na watu wameona hukosa tena confidence ila kwa wanaume wao hawajali kitu?

    Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
  4. Kipindupindu charejea tena Nchini Malawi, Watu 22 wameambukizwa, mmoja amefariki

    Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi. George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya, amesema "Matarajio yetu tungepumua kwa muda mrefu zaidi, haswa ikizingatiwa mwaka 2022...
  5. App zetu za mikopo umiza mmezifanya nini tena wazee?

    Ah wapi! Sitoi salamu Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao. Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari pesa miksa finiloan naona zote zimefungiwa. Kalaga Baho
  6. B

    Geita: Mchungaji wa GGIS atekwa wilayani Bukombe akiwa dukani kwake

    TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake. WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na...
  7. Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais

    Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris. Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza...
  8. iPhone 16 zimetoka muda wa kuumia tena umefika

    Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
  9. Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  10. Wafanyakazi wa JKIA wagoma tena, wasafiri wakwama airport.

    Kwema Wadau, Kama mnakumbuka mwezi wa 8 hapa katikati wafanyakazi wa Jomo Kenyatta International Airport walifanya mgomo.. kwa kweli niliona ile ishu juu juu skufatilia zaidi. Sasa hapa nasikiliza D.W lunch time nasikia shughuli zote za usafiri JKIA zimesimamishwa na wafanyakazi wamegoma mgomo...
  11. K

    Rais Samia tusikilize vizuri tena, unahujumiwa...

    Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali 1. Viongozi wanaotaka madaraka 2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone...
  12. Pre GE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

    Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali! Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
  13. Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

    Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
  14. Alishawahi kukuacha akajakukuomba kurudi tena?

    Katika harakati za mahusiano kuna changamoto nyingi. Mtu anaweza kukuacha kwa sababu ndogo tu mfano, Huna hela kwa kipindi fulan. Akakimbilia kwa mwingine anayefikiri ni bora zaidi. Tamaa ya mali mf. gari, nyumba n.k akakuacha kwa sababu huna hivyo vitu. Ameshakuzoea akakuona huna ladha na...
  15. Ukiwa na EV, kwa umeme wa elfu 40 unatoka Dar hadi Dodoma, na kurudi tena Dar!

    Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar. Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme...
  16. X

    Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

    Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space Station (ISS) Ikumbukwe kuwa wanaanga hawa Barry Wilmore (M) na Sunita Williams (F) walienda na...
  17. Katarama kapiga tena kwenye mshono!

    Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20 Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni wakati chuma zikiliacha jiji la Dar kuelekea Mbeya kwa msafara wa kuvutia zikiwa full headlight, full...
  18. Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...

    Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ... Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
  19. Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

    Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu? 3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
  20. Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

    Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…