Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports...
Kumekuwa na mtifuano kati ya Mhe. Mpina na Mhe. Waziri wa Kilimo - Bashe kuhusu sukari iliyoagizwa ili kuziba pengo lililotokea katika nchi.
Mengi yamezungumzwa na Watanzania tumesikia mengi. Kama kweli yale maneno aliyoyasema Ndugu Lissu kule Itigi basi Serikali iliyoko madarakani inatakiwa...
Kuna mambo yanaendelea mpaka unashikwa na hasira na kutamani kupiga ukuta ngumi. Sasa Mh mpina kasema waziri kavunja sheria, Tenda zote za Kuagiza sukari nje hazitangazwi kinyume na sheria na taratibu. Wakati akijibu Mh Waziri wa Kilimo akasema ni kweli tenda hazitangazwi. Hivi kwa mlinganisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.