Sehemu ya kwanza.
Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Tanzania ilikuwa ikujulikana kama Tanganyika.
Tanzania ni moja kati ya nchi kadhaa duniani zenye kuhifadhi wakimbizi na kundi kubwa ni la wakimbizi wanaokimbia vita katika nchi zao.
Licha hiyo,Tanzania iliwahi kuhifadhi wakimbizi...