Cybertruck limelipuka kwenye maegesho pembezoni mwa hotel ya bwana Donald Trump, maarufu kama Trump Tower.
Tesla Cybertruck ililipuka nje ya Hoteli ya Trump International, Las Vegas, Januari 1, 2024, na kusababisha kifo cha dereva na kuwajeruhi watu saba. FBI bado inachunguza chanzo cha tukio...