tetesi za soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Man City zinamgombea Neto wa Chelsea

    Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili la Januari. Chelsea inataka kukamilisha usajili wa kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, mapema, huku...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: AS FAR Wanamtaka Fadlu Davids kuwa Kocha wao mpya baada ya kumfukuza Hubert Velud

    Wazee Ubaya Ubwela jiandaeni Kisaikolojia AS FAR ya Morocco, inamtaka kocha wenu kipenzi baada ya kumfukuza Hubert Velud leo, tarehe 5 Februari 2025, kufuatia matokeo ya hivi karibuni. Katika kipindi hiki cha mpito, kocha msaidizi Jamil atachukua majukumu ya kuiongoza timu hadi pale klabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…