teuzi na tenguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao, je zote zina maslahi...
  2. BLACK MOVEMENT

    Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  3. denoo JG

    Binafsi nayaona mambo makubwa manne kwenye teuzi na tenguzi za Samia za kila siku.

    Habari zenu wana jamvi!. Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana kuwaamini toka mwanzo, lakini sasa anatengua mpaka wale wandani wake wa karibu. Binafsi nimekaa...
  4. Analogia Malenga

    Ameandika Jesse Kwayu: Kidata aligusa maslahi ya deep state?

    MEI mwaka jana wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo ambalo limepewa hadhi ya soko la Kimataifa waligoma. Mgomo wao ulitokana na kutokuridhishwa na mwenendo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) dhidi yao. Kwamba TRA walikuwa wakiwabambika kodi, kuwabugudhi na kimsingi walikuwa kero kwao kiasi...
  5. J

    Vigogo 3 kufukuzwa Ikulu kwa wakati mmoja ina maana gani?

    VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano. Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025...
  6. Cannabis

    Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali. ======= Baadhi ya mabadiliko - Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na...
  7. Mwana Mpotevu

    Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Leo ndio siku ambayo Spika wa Bunge atafungua Bahasha yenye jina la Waziri Mkuu na kisha Bunge kuketi kama kikao kumpitisha ama kumkataa Waziri Mkuu Mteule. Tujiunge mahala hapa kwa ajili ya Updates kutoa bungeni Dodoma - Bunge linaanza na kazi ya kwanza kuthibitisha jina la waziri mkuu. Spika...
Back
Top Bottom