tezi dume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  2. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  3. U

    Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  4. Dawa ya tezi dume yagunduliwa yaadimika Dodoma

    Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa. Dawa hiyo imegunduliwa na wataalamu wa Kitanzania, licha ya Serikali bado haijatoa tamko rasmi...
  5. Wanaume na tezi dume

    Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au inaongezeka kutokana na umri kitaalamu inaitwa benign prostatic hyperplasia,kadri mwanaume...
  6. Wapi nitapata mtaalam wa tiba ya tezi dume?

    Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…