Salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff.
maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania wanahitaji mafanikio ya timu yao katika mashindano mbalimbali. Leo natoa ushauri tu wa nini kifanyike katika timu yetu ya taifa...