Matokeo ya jana kati ya Namungo vs Yanga (sare ya bilabila) na Kaizer Chiefs vs Simba (4 - 0) ndo matokeo ya timu kutocheza mechi.
Kaizer Chiefs kacheza mechi mbili yaani tarehe 6/5 na 12/5 ndo kakutana na timu ya Simba.
Simba na Yanga kabla ya mechi yao ya tarehe 8/5, ambayo haikuchezwa...