tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira

    Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya...
  2. TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  3. Simba, Yanga na TFF walamba fidia ya jezi feki. Azam walitoa oda jezi zao feki zichomwe moto

    Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
  4. TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

    I salute you kinsmen Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..! Kama umefuatilia hii ni mechi...
  5. TFF wanatakiwa kumpa Job tuzo yake mapema

    I salute kinsmen Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job! Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana Composure ya hali ya juu Passing ability ya kuwazidi hata viungo wote pale simba Marking ya hali ya juu sana, Kama...
  6. TFF rasmi imethibitisha Abdihamid Moallin kuwa kocha msaidizi namba mbili wa Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa klabu ya Yanga imekamilisha taratibu zote za kumtumia Abdihamid Moallin kama kocha msaidizi namba mbili wa kikosi chao ambapo ameanza kutambuliwa kikanuni katika mchezo wa leo Desemba 29 dhidi ya Fountain Gate. Vilevile Kamati ya...
  7. TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  8. Aliyefungiwa na TFF adai hawakufuata utaratibu, kuendelea na majukumu yake

    "Hatua ninazozichukua, kesho nakaa na kamati yangu naendelea na uchaguzi kwa sababu vitu viende kwenye urasmi, hakukuwa na sababu yoyote ya mimi kushatakiwa na kamati ya maadili na hawakufuata utaratibu" "Kama hawakufuata utaratibu maana yake sio sahihi, kesho nakaa na kamati yangu tunaendelea...
  9. Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  10. TFF na Uongozi wa Yanga hili suala mbona mmelikalia kimya? Tunafunika Bakuli mwanaharam apite

    Hili suala toka Azam waliweke wazi tunaona kilichotokea. Yanga waliona wamevuliwa nguo wakasusa na Uwanja wa Azam kwa hasira. lakini Si Viongozi wa Yanga wala wa TFF ambao wamewahi kulizungumzia hili hata kukanusha. Nilitegemea kwa uzito wa hili jambo la wachezaji kujidunga TFF au Yanga...
  11. B

    Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

    Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao, Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
  12. TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  13. TFF yakanusha kuhusu Tanzania kuwa hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars). TFF imefafanua kuwa Ame ni miongoni mwa wachezaji 23 walioorodheshwa rasmi kwa mechi dhidi ya Guinea, na alikaguliwa...
  14. TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  15. Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  16. Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  17. TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

    TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote, Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
  18. TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

    Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi...
  19. D

    sports medias sasa ni machawa wa tff and board ya ligi, huko nako incompetence imefika

    I will be short we are fans of sports since we avoid politics. media ni machawa wa tff na bodi ya ligi. ni shameful mtu anaona kabisa ukweli Ila njaa na uchawa una haribu mpira wetu. imagine amna media hata moja inasema jambo kama lilivyo it's time watu twende off grid. wasafi media...
  20. N

    Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…