tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. TFF kutangaza Waamuzi wa ndani ya uwanja bila waamuzi wa VAR haijakaa Sawa..

    Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa...
  2. TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  3. Aucho aliwakosea Nini hapo TFF?

    TFF Huwa mnataza mpira mkubwa wapi Yaani kwenye league yetu hakuna kiungo mkabaji mwenye sifa zote kama Aucho Sawa mmemnyina tuzo hata kwenye majina ya walioshindania tuzo hayumo. Aucho ni mkabaji, anataka pasi elekezi, ana energy Bado mnamchukulua poa. Me naamini mna matatizo binafsi nje ya...
  4. Stephane Aziz Ki Kiungo bora wa msimu 2023/2024

    Kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo yake ya pili usiku wa leo ambapo amebeba tuzo wa kiungo bora wa msimu Aziz ki amewashinda wapizani wake wa karibu Feisal Salumu na Kipre Junior wote wachezaji wa Azam FC Mfungaji bora Kiungo bora Ligi kuu Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za...
  5. Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

    Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point. Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas...
  6. TFF na Bodi ya ligi wataishusha ligi kama wakijichanganya watafanya hivi

    Nampenda sana Fei Toto kwakuwa ni mzawa na mtanzania mwenzetu, lakini ni kweli kwamba Aziz Ki ni bora sana kuliko Fei Toto tena kwa mbali sana, lakini na Diara ni bora sana kuliko Matapi. Mfano, hebu waweke sokoni Aziz Ki na Fei Toto wewe utamchukua yupi kati ya hao wiwili. Na ukiwaweka sokoni...
  7. TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

    TFF mna Roho Mbaya sana na wala hamna Huruma. au mna Agenda yenu ya kutaka Watu wavurugane zaidi mapema yote hii?
  8. R

    TFF wametoaje kibali kwa Lameck Lawi wakati suala lake lipo kwenye Kamati ya Hadhi ya Wachezaji?

    Wakati swala la mchezaji Lameck Lawi likiwa kwenye kamati ya Sheria na hadhi ya wachezaji tayari taarifa zinasema ameshafanyiwa vipimo na timu ya Genk ya Ubelgiji. Kama wamemfanyia vipimo ni wazi kuwa mchezaji huyo ana nakala zote za Chama cha Soka Tanzania TFF. Kitendo cha kamati ya TFF...
  9. TFF ianzishe semina ya sheria za mikataba kwa wachezaji kabla ya kuwapa leseni

    Hizi sarakasi za wachezaji wazawa na mikataba hazitaisha. TFF waanzishe semina kwa wachezaji wote wa ndani na wa nje wanaocheza hapa nchini kabla ya kuwapa leseni wapewe semina ya mikataba. Kila msimu hii semina itolewe hata kwa siku mbili. Maana wachezaji wengi hawana elimu ya darasani ni...
  10. L

    TFF imemfungulia Haji Manara kwa sababu ya uoga tu

    Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu. Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama kawaida huku akiendelea kuwatukana viongozi wa TFF. Aliendelea kufanya yote aliyoweza kufanya bila...
  11. TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  12. Liston Katabazi kuiburuta TFF Mahakamani na kuidai Sh Milioni 700

    Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka. Kwa mujibu wa Katabazi ameifungulia kesi TFF katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, yenye namba 14708-2024...
  13. Hatimaye Klabu ya Yanga imefutiwa marufuku ya kusajili

    Kwa mashabiki, wanachama, na wadau wote wa michezo kwa ujumla! Habari ndiyo hiyo. TFF na FIFA kwa pamoja wameifuta ile marufuku yao ya kuizuia klabu ya Yanga kufanya usajili. Na hii ni baada ya mchezaji Lazarus Kambole kumalizana kwa amani na Wanajangwani. Rai yangu kwa Yanga; 1. Timu ya...
  14. TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

    Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi, Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi...
  15. Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

    Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
  16. S

    Tetesi: Nahodha aomba Kustaafu, TFF yagomea ombi lake

    Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania. Taarifa inaeleza kuwa TFF imeligomea jambo hilo huku wakihitaji baada ya michezo ya kufuzu fainali za...
  17. Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  18. TFF kama mnampenda Sana Tatu Malogo mtafutieni kazi nyingine

    Hiki anachokifanya hapa Tabora kimesababisha nitoke nje kabisa ya uwanja. Siwezi kuendelea kuangalia Mechi inayochezwshwa kama Chandimu. Goli la Kwanza la JKT limetokana na double offside, lakini halitoshi build up imeanzia na foul dhidi ya mchezaji wa Tabora United na refa yuko Mita 4 toka...
  19. Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  20. TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna watu wa mpira bali ni kikundi cha watu kinachotafuta mkate wa kila siku

    kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…