Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'ata shuka huko huko jela (safari hii ataondoka kweli)