Kuna mchezo utakuwa unafanyika kwa wachezaji sio bure, kwa sababu naangalia mechi baina ya APR vs Singida Black Stars michuano ya cecafa usiku huu pale chamazi, Tadeo Lwanga anacheza vizuri t, hana majeraha wala mibandeji mguuni kama alivyokuwa Simba.
Alipokuwa Simba majeraha mwanaume huyu...