Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar...
Asalaaaaamu, Britanicca hapa!
Matumaini yangu ni wazima !
Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake!
Kagame mnyoshee mikono!
Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
Habari wana forums,
Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi.
Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina machine.
NB. BONGOZOZO alishawahi kumhoji lady boy huko Thailand ukienda kwenye page yake utayaona...
Biashara ya mafuta inaelekea ukingoni.
Rare Earth ni madini Yanayotumika kwenye technology
Kama computer, simu, ndege, EVs, TV, bullet train nk.
Ugunduzi huu mkubwa utaua biashara ya mafuta duniani.
Thailand Itakuja kuwa taifa tajiri Sana. Congo waache kujidanganya. Supplier mkubwa wa madini...
Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.
Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
Host Country: Thailand
University: Chulabhorn Graduate Institute
Degree Level: Masters
Financial Coverage: Fully Funded
Deadline: 30th September 2023
Scholarship Duration
6 weeks of refresher courses and 2 years of Master’s degree study. The academic program will commence in August 2024.
Fields...
MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela.
Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo imeandika kuwa Shinawatra alikamtwa saa chache baada ya kurejea nchini humo baada ya kuwa nje kwa muda...
Picha: Sararat Rangsiwuthaporn
Sararat Rangsiwuthaporn alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za kumuua Rafiki yake Siriporn Kanwong ambapo alibainika kuwaua 12 wengine kwa sumu hiyo
Polisi inachunguza vifo hivyo ambapo wahasiriwa wote walikula au kunywa na Sararat kabla ya kifo chao
Inaelezwa...
Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024
Chulalongkorn University Thailand Government Scholarships 2023
Deadline: 31st May 2023 Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024
Click here to apply: Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024...
Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.
Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
Polisi nchini Thailand wameripoti kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulizi liliofanyika kwenye kituo cha kulea watoto. Taarifa za awali zinasema shambulizi hilo limefanywa kwa kutumia bunduki na mtu mmoja ambaye anatafutwa kwa sasa.
----
BANGKOK: At least 31 people were killed on...
Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne
Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
Katika maegesho ya gari nchini Thailand katika mji mkuu wa Bangkok, utaona mbogamboga zikiwa zimeota katika paa ya magari ya kukodi ambayo yana rangi mbalimbali za kung'aa.
Vizuizi vikali vilivyowekwa nchini Thailand dhidi ya Covid-19 vimesababisha mji huo ambao ulikuwa na hekaheka nyingi kuwa...
Thailand leo imejiunga na mataifa kadhaa ya Ulaya kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca kutokana na wasiwasi kuwa inasababisha kuganda kwa damu, licha ya baadhi ya mamlaka za afya duniani kusisitiza kwamba chanjo hiyo ni salama.
Mshauri wa Kamati ya Taifa ya Kusamimia Chanjo ya Virusi vya...
Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa kifalme yakipamba moto.
Katika kile kinachoonekana kama kulegeza misimamo yake, Waziri Mkuu Prayuth...
Kama unafuatilia vyombo vya habari nchi ya Mali moto umefuka. Wananchi waliingia mitaani mpaka raisi aliyetawala miaka 25 na ushee aondoke. Wanajeshi wakamteka Rais na waziri Mkuu, wakakamata nchi. Sema wanajeshi kiroho safi wataandaa uchaguzi wa huru wameahidi.
Belarus, wananchi wameingia...
Mwanajeshi mmoja nchini Thailand amewashambulia kwa kuwafyatulia risasi watu kadhaa na kuua idadi "kubwa" ya watu.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakhon Ratchasima pia ukijulikana kama Korat kaskazini mashariki mwa jiji la Bangkok.
Msemaji wa wizara ya ulinzi nchini humo amesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.