Bila upevu wa fikra kung’amua hii homa ni ndoto
Madaktari, waganga wote chamtoto
Bado wanaitafuta pimajoto, kwani dunia ina homa kali mithili ya moto
Wanasayansi wamelala maabara, Wanaitafuta tiba
Kwani homa ya dunia ishaleta madhara,
Hakuna masihara, vipofu wamesikia, homa ya dunia, viziwi bado...