Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma.
Malalamiko hayo yamewasilishwa na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tamko la THBUB kulaani mauaji ya Bw. Jumanne Juma
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Jumanne Juma (28), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Kimara B, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam aliyeuawa kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora ili wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao.
Hayo alisema Januari 23, 2025 wakati akitoa elimu...
Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed Khamis Hamad, alisema, hii ni kutokana na watu kuwa na uelewa wa kuibua masuala ya uvunjifu wa haki za...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
THBUB imeeleza imepokea kwa masikitiko makubwa vifo vya Nd. Athuman Hamad Athuman na Amour Khamis Salim, waliokuwa wakaazi wa kijiji cha Kiungoni, Wete...
Habari wana JamiiForums,
Hii ni Akaunti rasmi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), kupitia thread hii, tunakukaribisha tuzungumze na tutambue haki zetu sote
Utangulizi
Ni Idara huru ya Serikali ambayo inashughulikia masuala ya haki za binadamu na utawala bora na ni chombo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.