the boss

  1. Mi mi

    France-Albert René maarufu kama The Boss

    France-Albert René maarufu kama The Boss. Alikuwa Rais wa pili wa visiwa vya[nchi ya] Seychelles aliyehudumu katika uongozi wake toka mwaka 1977 mpaka 2004. Aliitwaa nafasi hiyo kupitia mapinduzi yaliyofanyika 1977 yaliyofadhiliwa na nchi ya Tanzania. Chini ya uongozi wake Seychelles iliweza...
  2. F

    Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

    Halo JF celebrities. Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
  3. H

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa nimemuunga mkono kwa asilimia 100 Na hii imekuja baada ya tetesi ya yeye kurudiana na diamond lakini pia kwa...
  4. kipipili

    Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

    Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please...
Back
Top Bottom