Huyu dogo sijui anafanya hvi kwa bahati mbaya au anafanya makusudi ili auchafue ukristo kwa maslahi ya waliomtuma.
Bahati mbaya sana hata jina lake sijakishika vizuri, sijui imani yake.
Lakini bila kujali imai yake nitumie jukwaa hili kwa niaba ya wakristo kwamba hatupendezwi na namna ambavyo...