Nimeangalia mustakabali wa Taifa letu na tulipo sasa na tunapoelekea nikajikuta nakumbuka mistari ya Coolio.., watu imekuwa ni msemo wa tafuta pesa..., yaani sio toa huduma wala fanya jambo ili upate pesa bali pata pesa by any means necessarily...
Hapo naona kama hawa ni educated fools with...