The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha...