Alicios Theluji (last name pronounced Ze-loo-gee), (born in 1987), is a DR Congolese recording artist, based in Nairobi, Kenya. She sings in Swahili and Lingala, but is also fluent in English and French.
Habari Wakuu,
Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa?
Naombeni mtusaidie
---
Salaam, Shalom!
Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini Urusi na Kazakhstan.
Kwa zaidi ya miaka 100, hakujawahi Kutokea uharibifu mkubwa kiasi hicho, katika...
Yellow Weather imekuwa ikitoa tahadhari ya hali ya baridi kati katia maeneo ya Uingereza. Usiku wa kuamkia leo Hali joto ilishuka sanaa chini ya Nyuzi joto za Barafu na kusababisha baridi kali sanaa na Barafu kushika katika Miji mingi ambayo imepelekea barabara Kufunikwa kwa Theluji na kuleta...
Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut.
===
Kyiv said that...
Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama la kimataifa leo Jumanne.
Waziri huyo amesema silaha zote zilizomiminwa Ukraine na mataifa yote ya...
Kutokana na baridi na kuonekana vitu kama barafu kwa siku za karibuni maeneo ya Njombe hali ambayo imesababisha watu wengi wawe na maswali tofauti kimefafanuliwa.
Mamlaka Hali ya Hewa Nchini (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa Sakitu, ambapo hiyo...
Wafanyakazi wanaohudumia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kwa karibu mwezi mmoja walifurahia kwa kucheza kwenye theluji kwa mitindo mbalimbali tofauti katika uwanja wa mashindano kusherehekea baada ya michezo hiyo kumalizika kwa mafanikio wiki iliyopita. Na wakapiga picha ya...
Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na eneo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo wa kinachoitwa"global warming" na effects zake siyo regional...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.