Wapotoshaji wanaweza kutengeneza taarifa zisizo za kweli kwa njia ya takwimu katika sekta tofautitofauti, hivyo ni vema kuthibitisha taarifa za kitakwimu unazokutana nazo ili kudhibiti upotoshaji.
Unapohitaji msaada wa uhakiki wasilisha taarifa yako katika jukwaa la JamiiCheck.com ili ipatiwe...
Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu.
Hakikisha Unathibitisha Taarifa zinazogusa Sekta ya Afya kabla ya kuziamini ili Kuhakikisha usalama wako na Jamii kwa ujumla
Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.