thomas simba

Jonathan Taylor Thomas (born Jonathan Taylor Weiss; September 8, 1981) is an American actor and director. He is known for portraying Randy Taylor on Home Improvement and voicing young Simba in Disney's 1994 film The Lion King and Pinocchio in New Line Cinema's 1996 film The Adventures of Pinocchio.

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi. Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  2. Mystery

    Aibu kwa Mahakama baada ya kuthibitika kuwa ilikuwa ikitoa hukumu kwa kuwaonea akina Mbowe

    Siku ya leo, Jaji wa mahakama kuu, Irvin Mgeta, ameandika historia, baada ya kubatilisha hukumu iliyokuwa imetolewa na Hakimu, Thomas Simba, wa mahakama ya Kisutu, hapo mwezi March, 2020, ambapo aliwatia hatiani viongozi hao wa Chadema, kwa Makosa 10 Kati ya 11, waliokuwa wameshitakiwa nayo...
  3. Stuxnet

    Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  4. Erythrocyte

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Mhe. Thomas Simba, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu

    Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana. Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa...
Back
Top Bottom