Siku ya leo, Jaji wa mahakama kuu, Irvin Mgeta, ameandika historia, baada ya kubatilisha hukumu iliyokuwa imetolewa na Hakimu, Thomas Simba, wa mahakama ya Kisutu, hapo mwezi March, 2020, ambapo aliwatia hatiani viongozi hao wa Chadema, kwa Makosa 10 Kati ya 11, waliokuwa wameshitakiwa nayo...