https://youtu.be/cQ8my9Fu7jU?si=8G2_TzDMHKYELqgD
➡Huyu hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kiraia ya kulinda na kutetea haki za binadamu - Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Bwana Onesmo Olengurumwa akifafanua dhana dhima ya kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya kikanuni...
Katika kulinda Utawala wa Sheria, Nafasi ya Asasi za Kiraia, na Uwajibikaji nchini Tanzania kupitia mashirikiano yaliyoboreshwa, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesaini mkataba wenye thamani ya Euro €1,500,000 kutoka Umoja wa Ulaya (European Union) kwa ajili ya mradi...
Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa miradi, na matatizo katika utoaji wa huduma. Kwa miongo kadhaa, Marekani imekuwa mfadhili mkuu wa...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza masikitiko yake na kulaani vitendo vya upendeleo vinavyodaiwa kufanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). TEF limezitaka taasisi zote zinazojihusisha na haki za binadamu, kama LHRC, kulaani vitendo vya ukiukwaji wa haki bila kuegemea...
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya.
THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Myika,Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Wakili Deogratias Mahinyila...
Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kanda ya Mashariki na Pwani wametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wote ambao wanadaiwa kuhusika na tukio la unyanyasaji wa Binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya Temeke jijini Dar es...
Baada ya andiko la Mwandishi wa Habari wa The Guardian kudaiwa kushambuliwa na Walimu, THRDC imetoa tamko, kusoma ilivyokuwa bofya hapa ~ Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na Walimu baada ya kupiga picha Wanafunzi wakisoma chini ya miti.
TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI...
Ripoti ya Mtandao wa Watetezi wa haki za binadamu (THRDC), iliyoangazia hali ya watetezi wa haki za binadamu na nafasi ya Kiraia nchini kwa mwaka 2023, imebaini kwamba kumekuwepo na ushirikishwaji hafifu wa wananchi kwenye masuala muhimu yanayowahusu hususani ya kisheria.
Akizungumza Julai 5...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) nakwa pamoja wamelaani vikali tukio la lililotokea Wilayani Muleba mkoani Kagera la utekwaji na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualibino Asimwe Novath.
Kufuatia tukio hilo wadau...
TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA
Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa waandishi wa habari mbalimbali nchini, hasa siku za hivi karibuni. Tukio la hivi punde ni kukamatwa kwa...
Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga kuchelewesha mchakato na upotezaji wa fedha za umma.
Tamko hilo limetolewa na Kituo cha Sheria na...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema.
Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
=================
===================
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Mamlaka ya Udhibiti, Usafiri Ardhini (Latra) wamelaani vikali kitendo cha waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na dereva kushambuliwa wakati wanatekeleza...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri.
"Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kuna umuhimu wa kutafakari kwa mapana kauli mbiu ya Siku ya Wanawake kwa mwaka 2023 isemayo “Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia: Chachu kuleta usawa wa Kijinsia” ili katika utekelezaji...
Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.