Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker 🔊 ,nimejikuta naipenda na bei zao ni nzuri Sana.
Tujaribu kushea experience hapa ya hizi bidhaa na ufanisi wake au changamoto zozote...