thriller

  1. mdukuzi

    Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  2. Mejasoko

    Mapinduzi ya Michael Jackson kupitia album ya kihistoria ya "Thriller"

    Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
  3. Mad Max

    Thriller Movies kwa Weekend: "What you wish For (2023)"

    Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana. Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America alikoalikwa na rafiki yake Jack walioachana miaka 12 iliopita. Ryan anasumbuliwa na madeni yaliyotokana na...
  4. Frank Wanjiru

    Thriller Movies

    1. Animal (2023) 2. The Hunger Games: The Ballad of Songbirds & Snakes (2023) 3. Salaar (2023) 4. The Creator (2023) 5. Violent Night (2022) 6. Silent Night (2023) 7. The Hunger Games (2012) 8. The Killer (2023) 9. Mission: Impossible - Dead Reckoning Part One (2023) 10. The Batman (2022) 11...
  5. Jr Xavi Hernandez

    Thriller ya Michael Jackson yaendelea kuwa album bora zaidi duniani kwa wakati wote

    Kwahiyo hakuna Album iliyowahi kufanya mauzo kuizidi Thriller ya Michael Jackson? Na Thriller ni ya kitambo miaka ya 1982. Nawaza zimetoka Album ngapi kali lakini wapi? Za kina Ed Sheeran, Taylor Swift, The Weekend na wakali kibao lakini hazijaifikia Album ya MJ kwa mauzo? Tuzo 8 usiku mmoja...
  6. I_manyota

    Hard to choose thread nimeona niwashirikishe wakuu tuanze na ipi hapa?

    Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀 Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
  7. Exorcist

    Thriller

  8. H

    Ipi ni best thriller movie kwako?

    Kama tittle inavyosema na ni kwanini Hiyo thriller movie kwako ni best?
  9. Maybach 255

    Riwaya: Mabastania

    WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU. ____________ 1 Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu meusi ya masika yalitanda, mvua ilitishia kunyesha...na matope kwenye njia nyororo iliyopita kati ya...
Back
Top Bottom