Umasikini na ujinga ni jambo baya sana. Watu wa tiba mbadala wanatapeli sana watu.
Ususani kwenye mambo wanayosema ni vipimo eti wana kipimo cha kupiga mwili mzima, na hicho kipimo mtu anashika kama pensel wanakutajia magonjwa kibao.
Pia wana kipimo kama kioo unaweka mkono wako kwenye kioo...
Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa sugu.
Hayo...
Wakati mwingine wake zenu wanaondoka majumbani kwenu bila kuaga,hawasikii mnapo waambia na hawa watii kwasababu kuna majukumu muhimu sana hamyatimizi ipasavyo.
Huko walikotoka wanaume wenzetu ambao ndio baba wakwe zetu,walitimiza majukumu yao,kwa maana malezi ya hawa warembo,walipata makazi na...
Leo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma.
Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure, vidonda vya tumbo, bawasili, uzazi kwa wanawake na wanaume,nk
Pia zinauzwa sana hata Mitandaoni na...
Mbunge Ameir Abdallah: Tafiti zipi Taasisi za 'Tiba Asili' Zimekamilisha na Kuwa Suluhisho la Maradhi Kama Tiba Mbadala?
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote.
Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
Oktoba 13, 2022, nilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu.
Baadhi walikuwa waliowahi matibabu ugonjwa ukiwa bado katika hali ya chini na wengine wakiwa wamechelewa na ugonjwa ulikuwa juu.
Nje ya ukuta wa jengo hilo watu wawili walikuwa...
Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k.
Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi...
Habari wakuu?
Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka 5. Na kila Hospital ninayoenda kupima naambiwa sina ugonjwa (Kuhusu hili unaweza nipa ushauri)...
Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga.
Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
Watu ni wengi na wote wanataka kwenda kupima afaya zao kwa mtaalamu wa tiba mbadala na wanaeleza ya kuwa mtaalamu huyu ana kifaa cha kupima mwili mzima na kujua shida zako zote.
Wadau, naomba mwenye kujua jina la kifaa hicho na gharama yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.