tiba ya asili

  1. JanguKamaJangu

    Bei kubwa za dawa Nigeria zimewafanya baadhi ya wagonjwa kugeukia tiba asili

    Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia. Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
  2. Lycaon pictus

    Kwanini wanaotoa huduma za tiba ya asili wanaruhusiwa kujitangaza na wanaotoa tiba za kisasa hawaruhusiwi?

    Nenda radio zote, hasa za mikoani utaona wana vipindi kibao vikitangaza tiba asili na tiba mbadala. Wengi unawakuta wanaelezea magonjwa kama UTI, utasa, nguvu za kiume nk. Wengi wanaelezea kwa uelewa wa kuungaunga na upotoshaji. Sheria ya kutotangaza huduma ya afya iliwekwa kwa ili kumlinda...
  3. KimChi

    Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

    Habari wakuu, Nimekuja gundua wadau wengi wa JF wanashuhuda za uhakika wa 100% za Tiba fulani za Asili kwa kuwa binafsi au ndugu zao wa karibu walizitumia kutatua Maradhi, Ulemavu au matatizo yaliyowasumbua na wakafanikiwa. Hivyo nachukua fursa hii kumkaribisha yeyote mwenye kujua Tiba Asili...
  4. Henry Byabachwezi

    Uuzaji wa mbegu za asili ziitwazo CHIA seeds

    Habarini ndugu, nauza mbegu za asili zinazojulikana kama chia seeds ambazo hutumiwa na binadamu kama tiba ya magonjwa mbali mbali yakiwemo, Magonjwa ya moyo, husaidia kupunguza tatizo la presha, huongeza nguvu mwilini, husaidia kuzuia na kupunguza matatizo ya sukari mwilini, husaidia kuongeza...
Back
Top Bottom