Nimekutana na hii video jamaa akielezea kuwa ulaji wa maembe na maganda yake ni tiba ya asili ya Bawasiri. Msimu wa maembe ndio huu, kabla sijaenda nunua lumbesa ya maembe naomba kupata uhalisia wa taarifa, upotoshaji wa makusudi wa masuala ya Afya umeshamiri sana.
Habari ndugu zangu nawasalimu sana.
Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika.
1. Bawasiri ni matokeo ya kuathirika kwa mfumo wa chakula
2. Mmengenyo wa chakula unapokuwa mbaya na ivyo kinyesi katika...
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri.
Tatizo la vidonda vya tumbo,kwangu lilikuwa ni la zaidi ya miaka mitano ,licha ya kujitahidi kutumia dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.