Habari zenu MMU,
Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo.
Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana wastani mara tatu kwa wiki!
Sasa katika pita pita zangu mitandaoni nikaona bandiko kuwa nyetu...
ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti.
Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta kitunguu saumu
Maandalizi
Chukua zaituni mils 20
Chukua kitunguu thaumu kisage upate mafuta yake mils 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.