Habari zenu ndugu zangu.
Mimi ni binti wa miaka 26, sijaolewa na Sina mtoto.
Mwaka Jana nilisumbuliwa sana uvimbe kwenye mayai mpaka ikapelekea kufanya upasuaji nikiwa na matumaini nimepona.
Ila sasa umerudi tena, na unakua kwa kasi, sasa nna uvimbe wa Centimeter 10, daktari wa wanawake...