Tamasha la Mwanamuziki wa Marekani Ne-Yo lililofanyika Nairobi Siku ya Mashujaa, Oktoba 20, 2026, limeibua mjadala kuhusu bei ya tiketi, muda wa msanii kutumbuiza na kile mashabiki wanapaswa kupata wanapolipia burudani ya gharama kubwa.
Ne-Yo, ambaye alirejea Kenya baada ya takribani miaka 11...