Kitendo cha kampuni ya Tigo kutumiwa pia kutoa ushahidi wa mchongo wakati wa kesi ya ugaidi ya Mbowe, huo ni ushahidi kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitumika na serekali katika kuwafanyia uovu wapinzani.
Hivyo hawawezi kujitenga sasa kuhusu kutoa location ya Lisu kuhusu shambulio lake, maana hata...