Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine
Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000
Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri)
Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
Mwaka 2019 benki kuu ya Tanzania Ilitengeneza kanuni za kuwalinda walaji wa huduma ndogo za fedha zikiitwa BANK OF TANZANIA FINANCIAL CONSUMER PROTECTION REGULATION,GN 884 2019, lengo la kanuni hizi ni kumlinda mteja wa huduma za fedha kama tigopesa, mpesa . N.k
Kanuni hizi zinamtaka mlaji...
Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.
Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Karibia week nzima kila nikituma pesa mara inakubali mara inakataa mara huku inaonyesha muamala umeshindikana, ukituma tena unajikuta umetuma mara mbili.
Huu ujinga unakera Sana saaana Tigo mnakera mnooooooo. Tangu saa kumi natuma pesa inagoma aiseee
Habari Wana Jukwaa,
Mimi ni mhanga wa tatizo ambalo linahusisha TigoPesa MasterCard. Niliafanya muamala kwenda Alibaba kwa ajili ya manunuzi. Mara ya kwanza nilifaulu kununua bidhaa bila matatizo. Baada ya mwezi mmoja, niliweka tena pesa kwenye TigoPesa na kufanya muamala wa pili tarehe...
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN.
Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
Anonymous
Thread
changamoto
huduma
huduma kwa wateja
kubwa
mastercard
sana
taarifa
tigopesa
wateja
habari wadau , kama unayo app ya Tigopesa cha kufanya update na pia kwa wewe ambae hauna nenda play store download jisajiri kula maisha wanatoa GB 1 masaa 24 nadhani zitakusaidia kukusukuma,
Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando.
Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako.
Nini maoni yako
Hivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je, na zenyewe ni benki?
Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
TIGOPESA mnazingua sana kwenye ada zenu za kuamisha PESA kwenda BENK KAMA NMB.
Yaani ada mnayokata hapo sio rafiki kabisa, na sitegemei kama kuna wateja wanayotumia hii njia na kama wapo basi labda hamuelewi na kama mnaelewa basi wenda huduma za benk zipo mbali na eneo hilo. Kwanini na sema...
Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma.
Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo.
Mifumo ya malipo iliyopo haimruhusu mtanzania kuweza kutumia tovuti yako. Na kufanya manunuzi ya kitu...
Habarini jamani,
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
Habari wanajamvi?
Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.