tigopesa

  1. A

    KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  2. T

    Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious. Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro. Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
  3. O

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  4. K

    Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

    Kampuni ya mawasiliano Tigo upande wa huduma ya miamala mnatukwaza sana. Nashangaa inakuaje nataka pesa zangu hampatikani. Yaani mnaudhi mnakera
  5. A

    Benki Kuu acheni kuwalinda Tigo Pesa

    Mwaka 2019 benki kuu ya Tanzania Ilitengeneza kanuni za kuwalinda walaji wa huduma ndogo za fedha zikiitwa BANK OF TANZANIA FINANCIAL CONSUMER PROTECTION REGULATION,GN 884 2019, lengo la kanuni hizi ni kumlinda mteja wa huduma za fedha kama tigopesa, mpesa . N.k Kanuni hizi zinamtaka mlaji...
  6. Huduma za TIGOPESA zitarejea muda gani??

    Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
  7. Tigopesa hakuna huduma

    Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa. Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
  8. Tigopesa mna shida Gani? Huu sasa ni ujinga

    Karibia week nzima kila nikituma pesa mara inakubali mara inakataa mara huku inaonyesha muamala umeshindikana, ukituma tena unajikuta umetuma mara mbili. Huu ujinga unakera Sana saaana Tigo mnakera mnooooooo. Tangu saa kumi natuma pesa inagoma aiseee
  9. Tigopesa MasterCard imemeza pesa zangu

    Habari Wana Jukwaa, Mimi ni mhanga wa tatizo ambalo linahusisha TigoPesa MasterCard. Niliafanya muamala kwenda Alibaba kwa ajili ya manunuzi. Mara ya kwanza nilifaulu kununua bidhaa bila matatizo. Baada ya mwezi mmoja, niliweka tena pesa kwenye TigoPesa na kufanya muamala wa pili tarehe...
  10. A

    KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  11. M

    Kama una App ya Tigopesa au huna Fanya hivi

    habari wadau , kama unayo app ya Tigopesa cha kufanya update na pia kwa wewe ambae hauna nenda play store download jisajiri kula maisha wanatoa GB 1 masaa 24 nadhani zitakusaidia kukusukuma,
  12. Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  13. App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  14. Mpesa, Tigopesa et al, ni benki?

    Hivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je, na zenyewe ni benki? Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
  15. TIGOPESA kwenda benki ada zenu sio rafiki

    TIGOPESA mnazingua sana kwenye ada zenu za kuamisha PESA kwenda BENK KAMA NMB. Yaani ada mnayokata hapo sio rafiki kabisa, na sitegemei kama kuna wateja wanayotumia hii njia na kama wapo basi labda hamuelewi na kama mnaelewa basi wenda huduma za benk zipo mbali na eneo hilo. Kwanini na sema...
  16. Je unajua kuhusu hili? Ugunduzi mpya wakitaalam mfumo wa malipo kwenye tovuti yako kwa wale wenye kampuni iliyosajiliwa

    Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma. Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo. Mifumo ya malipo iliyopo haimruhusu mtanzania kuweza kutumia tovuti yako. Na kufanya manunuzi ya kitu...
  17. Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  18. Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

    Habari wanajamvi? Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu. Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...
  19. Q

    Anayefahamu kuhusu API za tigo pesa na Mpesa

    Habarini ndugu zangu! Kwa anayefahamu kuhusu hizi API za tigopesa , Mpesa , Je? Huwa ni za kulipia?na kama ni kulipia ni Tsh ngapi?
  20. Laini ya wakala ya tigopesa

    NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…