Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru.
Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani.
Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...