SGR, mbona mnajihujumu wenyewe halafu mnalalamika kwamba watu wanahujumu na wanapaswa kukamatwa na kufungwa adhabu kali? Mimi nadhani kwanza mnapaswa kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi wenu humo ndani kwani wao ndio wanaweza kuwa wanahujumu.
Online, mtu hawezi kununua tiketi kwa...
Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje?
Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
Nataka kusafiri kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam nimeangalia kwenye app yao ya tiketi mtandao kuanzia tarehe 16,17 na kuendelea hakuna mabasi hii inaonekana wamiliki wa mabasi hawaingizi taarifa za mabasi yao kwenye mfumo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.