Wakuu,
Shirika la habari la Reuters hivi karibuni limeripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok
Taarifa hiyo kutoka Reuters inasema kuwa Trump amesema kwamba Microsoft iko kwenye mazungumzo ya kununua Tiktok na kwamba...
Tiktok imetangaza huduma zake kurejea nchini Marekani, baada ya juhudi za Trump kurefusha muda wa majadiliano mpaka hapo atakapoingia madarakani rasmi.
Sababu nyingine kubwa ya Trump kuipambania Tiktok irudi hewani Marekani ni kutaka uapisho wake hapo kesho uweze kwenda "Live" kwa watumiaji wa...
TikTok inajipanga kuzima huduma ya App yake kwa watumiaji wa Marekani kuanzia Jumapili hii ya Januari 19, iwapo Mahakama ya Juu haitazuia marufuku hiyo, kwa mujibu wa ripoti ya The Information.
Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au...
Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok, kuuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani.
Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.