tiktok marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
  2. TikTok imetangaza kusitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025

    Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok, kuuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani. Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…