Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo
Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter
Kisha kuna gharama ya usafiri
Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo
Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga
Kuna ufundi
Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja na mafundi
Karibuni kwa mchango wenu wadau
Habari wakuu,
Leo tujadili, kati ya Tangastone za kisasa na marumaru za urembo unapendelea kuweka kipi katika sehemu za nje ya nyumba yako? mfano kwenye msingi, na kama unapendelea tangastone au marumaru, tupe sababu pia.
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Wakuu habari za muda huu?
Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara.
Model yake ni...
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za...
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
Tunatoa huduma ya ufundi popote Tanzania tunafika, huduma ni kwenye nyumba za kuishi, biashara, ibada, na masomo tunapatikana Dar
+255713545784 pia whatsApp
etkisesa@gmail.
com
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi...
Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30
Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi.
50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60
Za 40*40 hizi box moja...
Habari wakuu! Nimerudi tena baada ya kujikusanya na kujipanga sana. Nimefika hatua ya kuweka vigae (tiles). Sasa kuna jambo ambalo nimejaribu kupitia post mbalimbali na kugundua kwamba vigae pia vina daraja (grades) tofauti, yaani A, B, C.
Kutokana na bajeti yangu, sioni uwezekano wa kutumia...
Wanahitajika vijana 2 wa mauzo ya tiles.
Watakuwa na majukumu ya kwenda kutafuta order sites mbali mbali zinazojengwa. Eneo la ofisi ni Madale na kuna posho kwa mwezi, nauli na commission kulingana na mzigo ulivyouza.
Pia nakaribisha wale wote wenye uhitaji wa tiles kwa bei poaa na offer kibao...
Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.