Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi...