Habari zenu wapendwa wa bwana.
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya,tupate mda wa kuwaombe wagonjwa na wenye shida mbalimbali,MUNGU awatangulie amen. Moja kwa moja twende kwenye mada huska niliyoiandika hapo juu.
Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu kwa mda mrefu sana na nimegundua hii siri...
Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha?
Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga kutufunulia vitu vile ambavo tusingeweza ona kwa sababu ya giza.
Siongelei kujumuisha watu wote ila...
Habari ndg jamaa na marafiki humu kwenye jukwaa , Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya Kidato cha Sita mwaka huu ,nipo nasubiri matokeo yangu Lakini ajabu ni kwamba wazazi wangu hawataki niende chuo endapo hata nikifaulu wanataka nibaki nyumbani nioe mke na kuwasaidia nyumbani (kuzalisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.